MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday 27 June 2017

VIDEO; AJALI YA BAS BUKOBA - ARUSHA, NG'OMBE 27 WAFA KWA KUGONGWA



Watu kadhaa wamenusurika kupoteza maisha wilayani Biharamulo mkoani Kagera, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugonga kundi la ng’ombe.

MACMEDIANEWS  imezungumza na abiria wa basi hilo la Mohammed Clasic likitokea Bukoba kuelekea mkoani Arusha, na kueleza kuwa ng’ombe 27 wameonekana kufa papo hapo kwenye ajali hiyo, huku akukuwa na abiria aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha kwasababu gari hilo alikuanguka.

Polisi wamefika kwenye eneo la tukio kwenye moja ya kona za barabara kuu wilayani Biharamulo, na kuelekeza basi hiyo namba T397 AMW kupelekwa kituo cha polisi kwa uchunguzi zaidi na utaratibu ili wasafiri kuendelee na safari yao kwenda Arusha.
 

Na Mwanaharakati.

No comments: