MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 22 May 2014

NEWS ALERT!!! UKAWA; POLISI YA MKERA DOKTA SLAA BUKOBA

 Kalitika maelezo yake, Dokta Slaa amesema kuwa polisi haina mamlaka ya kuzuia mkutano kwa mujibu wa sheria, hivyo chama kinapaswa kuiandikia polisi baarua ya kuipa taarfia saa 48 kabla, na siyo kuomba ruhusa ya mkutano, hivyo atahakikisha anakutana IGP Mangu kupata ufafanuzi uliompa OCD wa Bukoba mamlaka ya kuandika barua hiyo.
Dk Wilbroad Slaa awapo jukwaani Bukoba manispaa.
 Amesema katika hotuba yake kuwa watanzania wanatakiwa kujua mabadiliko kwa siyo kutegemea taratibu za mwaka 47, na mabadiliko hayo yataletwa na katiba mpya, huku akisema kuwa serikali tatu ni muhimu kwao na akapongeza kuwa mbunge wa Bukoba mjini Balozi Kagasheki hajasema kuwa watu wa Bukoba wanataka serikali mbili, lakini akisema huko Bungeni wanabukoba wamuulize kuwa wamemtuma lini kuwa wazitaka2?
Mbunge wa Biharamulo Dk Anton Mbasa

Dk Exavery Rwaitama, alipofafanua kuwa UKAWA siyo chama bali ni vuguvugu ambalo haliitaji usajiri kama chama cha siasa.

Bwana Mstapha Wandwi
Bwana Emed Msabaha katibu NCCR MAGEUZI kutoka Kigoma.

Baadhi ya wananchi katika mkutano huo wakiunga mkono umoja wa UWAKAWA kwa kunyoosha vidole vitano juu.
Na Mwanaharakati.

No comments: