MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday 23 December 2013

MAGAZETI HAYA HAPA LEO





MWANA HARAKATI

HUYU NDIYO LOWASA




Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Pikipiki Wilaya ya Ilala,Michael Roewe akisoma Risala yao mbele ya Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa (hayupo pichani) wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda lililofanyika leo kwenye Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.


MWANA HARAKATI

Profesa Ibrahim Lipumba amesema nchi inakumbwa na msukosuko mkubwa wa kiuongozi na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete anapaswa kuchukua maamuzi ya busara ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akifungua mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF huko Buguruni, kulia ni Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Hamad Masoud
 
MWANA HARAKATI

Monday 16 December 2013

HUYU NDIYE MWENYEKITI MSTAAFU CCM MWANZA CLEMENT MABINA ALIYEUAWA

 Taarifa zaidi zinasema baada ya ghasia kutokea mwenyekiti alipirisasi ambayo ilimpata mtoto wa miaka 12 na wananchi wakaanza kumponda kwa mawe hadi kifo chake.
MWANA HARAKATI

BREAKING NEWS: BASI LA BUKOBA EXPRESS LAPAJA AJALI MAENEO YA ISAKA KAHAMA ASUBUHI HII

MWANA HARAKATI

MAZISHI YA MANDELA NDIYO HAYA

 Hatua za mwisho zaidi haizwekwa wazi kwa wote walioudhuria, bali wachache katika viongozi wa familia na rais wa sasa wa taifa hilo JACOB ZUMA. Chini ni ndege zilizokuwa zikizunguka na kupeperusha bendera ya nchi hiyo wakati wote wa mazishi.
 Ni banda rsmi lililotumika wakati wanafamilia wakifatilia mazishi ya Mandela wakati wanajeshi wa ngazi za juu wakifata taratibu zote za heshima.
MWANA HARAKATI

Friday 6 December 2013

MJUE NELSON ROLIHLAHLA MANDELA

Nelson Rolihlahla Mandela alikuwa mwanamapinduzi na mpigania haki wa South African na mwanasiasa aliyehudumu kama rais kuanzia 1994 hadi 1999. 
  • Alizaliwa: July 18, 1918, Mvezo, South Africa
  • Amefariki: December 5, 2013, Johannesburg, South Africa
  • Ndoa: Graça Machel (m. 1998)Winnie Madikizela-Mandela (m. 1958–1996)Evelyn Mase (m. 1944–1958)
  • Watoto: Makaziwe MandelaZenani Mandelana zaidi
  • Tuzo: Nobel Peace PrizeBharat Ratnana zaidi
  •  Picha chini ni gereza alikokuwa amefungwa mandela katika kisiwa cha Roben
     Baada ya kutoka gerezani mandela hakuonesha kinyongo kwa wazungu.
    MWANA HARAKATI

    NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA

    Ni rais wa kwanza mweusi afrika ya kusini, alifungwa gerezani kwa muda wa miaka 27 lakini alishangaza wengi baada ya kutoka alishiriki kuongoza taifa hilo na wazungu waliomfunga.

    Itakumbukwa alikuwa mshirika wa karibu na Tanzania katika vita ya kupigania uhuru alipokuwa akihitaji ushauri wa mwalimu Nyerere ambaye ni rais wa kwanzan wa Tanganyika? Tanzania.

    Mandela amepigania roho yake kwa kipindi kirefu baada ya kuugua mara kwa mara, na hadi anaaga dunia usiku saa3, alikuwa na umri wa miaka 95, hivyo atakumbukwa sana na wananchi wa afrika kusini wapo katika maombolezo baada ya rais wa sasa JACKOB ZUMA kutangaza kuwa taifa limempoteza mtoto wake na nuru imezimika.

    Baadaye nitakuwekea picha uone hali alisi na gereza alikokuwa analala mandela wakati huo.

    Jah rasterfarie...
    MWANA HARAKATI