Ni mauti yaliyomkuta usiku wa kuamkia leo kati ya saa8 na 9 usiku ambapo taarifa za awali zinasema amekutwa kwenye gari lake eneo la Buyekera na alipokbizwa Hospitali ya Ndorage akabainika kuwa ameshaaga dunia.
Taarifa ya familia inasema kuwa amebainika kuwa amekufa kwa presure, ugonjwa ambao umekuwa ukimsumbua mara kwa mara na msiba upo katika moja ya nyumba zake Kyakairabwa manispaa ya Bukoba na mazishi tutaarifiwa.
Kwa habri zaidi kuhusu undani wa kifo hicho tutakuletea baadae.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment