Taarifa zilizoufikia mtandao huu hivi punde, zinasema kuwa mzee huyo Joseph Mshumbusi amefariki dunia akiwa njiani kutokea China, ambapo taarifa za awali zimesema kuwa muda mfupi baada ya ndege kuruka alipata shambulio la moyo na kupoteza maisha akiwa ndani ya ndege ya EMIRATES.
Mwili bado upo katika hospitali Dubai.
Enzi za uhai wake mzee Mshumbusi katika picha ya pamoja na mke wake |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment