MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 12 October 2015

KIFO CHA GASPER MKANDARA LUFUFU

Ni mmoja ya waanzilishi wa utafsri wa mikanda ya kizungu hasa ya kivita, ambaye alijizolea umaarufu mkubwa afrika mashariki na kati, kwa kufanya tafsri zake na kuingiza maneno ya kuchekesha kwa kiswahili na kilunga (Kihaya). majina halisi Derick Gasper Mukandara (Lufufu).
Tarifa zilizoufikia mtandao huu, zinasema kuwa Lufufu alianguka ghafla juzi na kupoteza maisha, na msiba upo nyumbani kwake Kashai manispaa ya Bukoba ingawaje ni mzaliwa wa Kyaka Misenyi mkoani Kagera.

Na Mwanaharakati.

No comments: