MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 12 October 2015

BREAKING NEWS!!! WAZIRI WA VIWANDA AFARIKI, DR KIGODA

Taarifa iliyothibitishwa na mkurugenzi wa habari maelezo Hassa Mwambene, inasema kuwa waziri wa viwanda na biashara Dr Abdalah Kigoda amefariki leo hii nchini India alipokuwa kwa matibabu tangu alipolazwa mwezi septemba mwaka huu.

Tutakuletea habari kamili.
Na Mwanaharakati.

No comments: