MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 13 October 2015

HAWA NDIYO WAGOMBEA WA CHADEMA WANAOSHIKILIWA NA POLISI

Ni Valerian Lugarabamu anayegombea jimbo la Nkenge wilayani Misenyi, Sabb Rwazo anayegombea Karagwe na mgombea wa Bukoba vijijini kupitia chama hicho.

Taarifa ya awali inasemakuwa wagombea hao wamekamatwa kwa tuhuma za kuvuruga msafara wa mgombea mwenza wa CCM Bi Samiah Suluhu aliyekuwa safarini kuelekea Bukoba, ilihali wagombea hao wa ubunge wakielekea Geita wakiwa ndani ya gari moja binafsi.

Tutakuletea taarifa zaidi.
Na Mwanaharakati.

No comments: