Ni rais wa kwanza mweusi afrika ya kusini, alifungwa gerezani kwa muda wa miaka 27 lakini alishangaza wengi baada ya kutoka alishiriki kuongoza taifa hilo na wazungu waliomfunga.
Itakumbukwa alikuwa mshirika wa karibu na Tanzania katika vita ya kupigania uhuru alipokuwa akihitaji ushauri wa mwalimu Nyerere ambaye ni rais wa kwanzan wa Tanganyika? Tanzania.
Mandela amepigania roho yake kwa kipindi kirefu baada ya kuugua mara kwa mara, na hadi anaaga dunia usiku saa3, alikuwa na umri wa miaka 95, hivyo atakumbukwa sana na wananchi wa afrika kusini wapo katika maombolezo baada ya rais wa sasa JACKOB ZUMA kutangaza kuwa taifa limempoteza mtoto wake na nuru imezimika.
Baadaye nitakuwekea picha uone hali alisi na gereza alikokuwa analala mandela wakati huo.
Jah rasterfarie...
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment