 |
| Taswira ya ajali hiyo kwa mbali ikionesha magari yamezuiwa kwa muda. |
 |
| Wananchi wakinasua wahusika ndani ya gari moja wapo |
 |
| Hii ni Cruser iliyohusika katika ajali hiyo na hatujajua kama kuna vifo au lah. |
 |
| Lori la kubeba mizigo nalo limehusika katika ajali hiyo. |
Hili ni tukio
la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha
kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana
na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya
zitakavyokuwa zikitufikia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment