MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 19 March 2014

MTANGAZAJI KASIBANTE FM BUKOBA 88.5MHz

Jerome John akifurahia keki aliyoandaliwa na wadau

Bi Ritta rafiki wa karibu sana na Jerome John(JX 100)
Mtoto Jerome akimlisha keki mmoja ya watangazaji wa K fm Abdulrazack Majid

Ni mimi Mac Ngaiza, mkuu wa vipindi vya redio 88.5MHz nikilishwa keki.



Rafiki wa karibu wa JX 100 Mwesi Daudi AKA Kandoro akilishwa keki.

JX 100 akimlisha keki rafiki wake wa kike wa karibu sn Ritta J

Ni Alloyce J Nyalaja DJ Baunsa akila keki

Ni tafrija ya birthday iliyofanyika katika ukumbi wa Bk club, ikihusisha watangazaji Kasibante redio, na wadau wa habari, ambapo Jerome John ametimiza miaka kadhaa ambayo amesema password ni siri yake, lakini jambo pekee asiloweza kusahau ni kupata kazi, katika umri huu.
Na Mwanaharakati.

No comments: