Ushauri huo umetolewa baada mwandishi wa mtandao huu kutembelea vyanzo vya maji mkoani Kilimanjaro. ambapo mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja, amesema vyanzo vinapunguza tatizo la maji kwa kiwango kikubwa.
Mkurugenzi wa
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian
Luhemeja(aliyefunga tai)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo
cha Maji cha Cofee Curing.
|
Chanzo cha
Maji cha Shiri
|
No comments:
Post a Comment