Mwanasheria huyo Frederick Werema, ameandika baraua ya kujiuzulu kwa rais Kikwete, kuwa ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kwa hiari yake mwenyewe, ambapo kwa mujibu wa taarifa rais Kikwete amekubaliana na maamuzi hayo kwakusema kuwa hatahivyo mwanasheria huyo ameamua hivyo katika kuwajibika.
Katika barua yake Jaj Werema amesema kuwa ameamua hivyo kwasababu ushaurialioutoa katika akaunt ya ESCROW haukueleweka na umechafua hali ya hewa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment