Watendaji
wa Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), (mstari wa
mbele) waliohudhuria hafla iliyofanyika nchini Zambia ya kutiliana saini
Makubaliano ya Awali (MoU) ya mradi wa pamoja wa kujenga miundombinu ya
kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kati ya nchi za Zambia, Tanzania
na Kenya wakimsikiliza mmoja wa wazungumzaji katika hafla hiyo (haonekani
pichani). Kutoka kulia ni Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, Eng.
Hosea Mbise, Decklan Mhaiki, Naibu Mkurugenzi Mtendaji-Uwekezaji (Tanesco),
Kasindi Malale, Injinia Mkuu (Tanesco), Leonard Masanja, Injinia Mkuu (Wizara)
na Mwanasheria, Abbas Kisuju (Wizara).

Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment