Nimesikitishwa Sana na habari
zilizoandikwa na moja ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa wasanii
wenzangu Nyota ndogo na Susumila, kwa kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti
niliwazuia wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli hii!!!??
Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story
hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha Mahusiano yetu mazuri ya
wasanii Wa Africa mashariki..kama BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari
za upotoshaji Kati yangu na Jose Chameleone..



Diamond Platnumz anafahamika kwa kushow love kwa kazi za wasanii wenzake
kwenye Instagram. Mmoja wa wasanii walionufaika na shavu lake ni
Shilole ambaye anapromote kava la single yake mpya ‘Malele’.
Akiweka picha hiyo, Diamond aliandika:
“Moja ya mfano mzuri tulionao Nchini…wakati anaanza kila mtu alimdharau
na kumuona hatofika popote laikini leo hii Huwezi kuskia show kubwa
inafanyika Nchini bila yeye Kuwepo…Dada zangu msikubali kuishi...
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment