MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 16 December 2014

UNDANI WA AJALI YA BASI ILIYOUA WATU TABORA WAELEZWA NA KAMANDA TAZAMA HAPA

Kamanda wa polisi mkoani Tabora SUZAN KAGANDA, ameueleza mtandao huu kuwa ajali hiyo imetokea saa 4 na nusu eneo laMakomelo ambapo watu watano wamekufa papo hapo na wengine 51 kujeruhiwa.

amesema kati ya waliopoteza maisha wapo watoto wadogo wawili ambao tayari wametambuliwa Omary Visenti miaka 2 na Dorcas Masanja miaka 2, ambapo amesema kuwa utingo na fundi wa basi hilo Matokeo Philipo mkazi wa Shinyanga, naye ametpoteza maisha na tayari ametambuliwa.






Na Mwanaharakati.

No comments: