Mgombea ubunge jimboni Chalinze Bwana RAMADHAN MGAYA kupitia chama cha AFP amelazwa baada ya kujeruhiwa kwa mapanga ambapo amesema kuwa wavamizi walimkuta kwy nyumba moja ya kulala wageni mjini Chalinze.
Amesema kuwa mbali nayeye kujeruhiwa pia kiongozi katika CHADEMA Mwita Waitara naye amejeruhiwa wakati akimsaidia wakati Mgaya akikatwa mikono wakati akipangua mapanga.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment