
![]() |
Baadhi ya walimu katika viwanja mbalimbali vya ofisi ya mkuu wa mkoa. |
Taarifa za awali zinadai kuwa walimu hao, ni wale waliojiriwa katika shule za sekondari manispaa ya Bukoba, ambapo baada ya kugawiwa maeneo yao ya kazi, waliahidiwa kupewa nyumba za kuishi na fedha za kujikimu lakini cha ajabu wanashangaa waliporipoti jkwenye shule zao hawajapewa au kuoneshwa nyumba za kuishi.
Baadhi waliozungumza nami muda mfupi kutoka sasa, wamesema kuwa tangu jumatatu waliporipoti kwenye maeneo yao ya kazi, muda unapofika wanaagwa kawaida kwamba walimu wapya mwendenei nyumbani, ilhali wao hawana makaazi ya kuishi, hivyo wakataka ufafanuzi wa jambo hilo ambapo wengine wanapewa hela kidogo walimu wakuu katika shule aliyoripoti mwalimu.
Tunaendelea kufuatilia undani, kwani mpaka naondoka ofisni kwa mkuu wa mkoa, hakuna kiongozi aliyekuwa amepatikana kuzungum,za nao.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment