MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 4 April 2014

MALORI YALIYOKUWA YAMEKWAMA TUNDUMA YARUHUSIWA KUONDOKA

Kamanda wa polisi mkoani Ruvuma AHMED MSANGI, amesema kuwa ni kweli malori yaliyokuwa yamekwama mpakani Tuinduma yameanza safari zake usiku wa kuamkia leo.
 
Kamanda Msangi

Awali  mmoja wa madereva wa lori SALEHE NADI, alitueleza kuwa  tatizo ni uwapo wa shimo dogo baada ya gari moja kupata ajali upande mwingine, lililokuwa likitokea Sumbawanga, ambapo taarifa waliyonayo madereva ni kuwa utaratibu wa kukarabati eneo hilo unaendelea.

Ameeleza kuwa kinachowauma wanalipia dola 350 kama ushuru wa kuvusha gari, kutoka Tanzania kwenda Zambia, ambapo hakukuwa na sababu ya kushindwa kukarabati eneo hilo,
Na Mwanaharakati.

No comments: