Taarifa nilizozipokea kwa njia ya simu jioni hii zinasema kuwa baba mzazi wa Askofu Method Kilaini, mzee Paul Mtegeki Kilaini amefariki dunia jioni hii akiwa jijini Dar es salaam.
Ujumbe wa baba askofu Kilaini kwa njia ya simu, umenifahamisha kuwa Kilaini aliyekuwa na umri wa miaka 87 anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Katoma Bukoba, jumatatu saa8 mchana.
Tutakuletea undani wa habari hii endelea kufuatilia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment