Taarifa za awali zinasema kuwa limedumbukia usiku wa saa saba usiku ambapo aliyekuwa akiendesha gari hiyo anasadikiwa kuwa na OCS wa kituo cha stand ya mabasi Bukoba na alikuwa akitokea kwenye sherehe za OCS Bukoba Michael Manumbu na kumkaribisha OCS mpya Halima Kitundu.
Mashuuda wanasemeka OCS aliyepata ajali anajulikana kwa jina la Dudu na ndiye mkuu wa kituo cha standi kuu ya magari Bukoba, baada ya kuagana na viongozi na wageni wengine waliokuwapo katika sherehe hiyo aliondoka na gari ndogo namba T910 CTC ambapo walikuta amedumbukia kweye mto Kanoni karibu na eneo la Kasarani.
Tunaendelea kufuatili undani
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment