Richard Weastcott ameripot kuwa meli na ndege zinazoendelea kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea ya MH30 zimegundua kisanduku cha taarifa ya ndege iliyopotea blackbox kuwa kipo katika frequence 37.5kHz.
Ni taarifa za hivi punde kutoka shirika la habari la china Xhinua ambapo inasemekana idadi kubwa ya meli na ndege zilizo kwenye utafutaji wa ndege hiyo zimekutana katika eneo hilo moja jioni hii.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment