Inasemekana mwenyekiti wa Jumuhiya ya EAC na rais wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete, amelaani kitendo hicho huku taarifa rasmi kutolewa baadaye hiileo.
Makamu wa rais wa Burundi, amekanusha taarifa ya kupinduliwa kwa Nkurunzinza huku wananchi na baadhi ya wananjeshi, wakishangilia hatua yao kuifikia ikulu ya nchi hiyo na Meja Jenerali Godifroid kutangaza kupitia redio ya nchi hiyo kushikilia mamlaka na kusema kuwa ameunda kamati ya kushughulia hali ya nchi hiyo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment