Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza ameon'golewa madarakani.
Meja Generali Niyombareh amesema wamechukua hatua hiyo baada ya watu wa Burundi kukataa kwa kinwa kipana awamu ya tatu ya urais wa Nkurunziza.
Jenerali huyo alitimuliwa na Nkurunziza mwezi februari anasema kuwa Nkurunziza alishindwa kuheshimu mwafaka wa amani mbali na sheria za kimataifa.
Kwa sasa rais Nkurunziza yuko nchini Tanzania alipokuwa anatarajiwa kujumuika na viongozi wa kanda hii ya Afrika Mashriki kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi tangu Nkurunzinza atangaze nia yake ya kuwania awamu ya tatu.
Godefroid Niyombare is an officer in the Military of Burundi. He led a coup against President Pierre Nkurunziza on 13 May 2015. At the time of the coup Niyombare was a Major General and had previously served as the country's ambassador to Kenya.Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment