Mgeni rasmi katika mechi ya KAGERA SUKARI na JKT OLJORO ambapo kagera wametandikwa 2-1
Kagera sugar katika mechi hiyo ilitandikwa mambao mawili yote yakiingizwa kimiani na AMIR OMAR katika DK 4 na bao la pili DK-25.
Bao la kufuta machozi kwa KAGERA SUGAR lilipatikana kwa njia ya penati baada ya beki yake kumfanyia madhambi mchezaji wa kagera sugar katika DK 54 iliyofungwa na TEMISTOCRES FELIX (MNYAMA).
Mechi hiyo imepigwa tarehe 22/09/2011.
No comments:
Post a Comment