Alipata umaarufu wakati alipokuwa akiimba na Hayati Luwambo
Makiadi na Lutumba Simaro . Wimbo wake wa MOKOLO NA KOFUFA (Siku nitakayo
fariki) ndio maarufu sana
katika eneo la Afrika Mashariki na Kati na uliompandisha kwenye jukwaa la
waimbaji bora wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
No comments:
Post a Comment