MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 10 July 2012

HITIMISHO LA SABASABA BUKOBA NASHUGHULI MBALIMBALI.

 Waliokaa chini kutoka kulia ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Zipora Pangani pamoja na wafanyabiashara kutoka nchini Kenya na Uganga.
 Chini ni Studio za Kasibante fm Redio za kufanyia matangazo ya live kutoka nje ya ofisi kuu ambapo mtangazaji Nicolaus Mac Ngaiza alikuwa akifanya mahojiano na mkuu wa mkoa alipowasili studioni, swali kubwa kwake ni kwanini wafanyabiashara kutoka nchi za nje walikamatwa kuhusu vyeti vya uhamiaji? mkuu wa mkoa alijibu kuwa walikamatwa kimakosa na suala hilo limetatuliwa.
 Chini ni mkuu wa mkoa akikagua banda la mmoja wa wajasriamali aliyekuwa akiuza CD na maua viwanjani hapo.
 Hawa ni mapaparazi wakipata chakula katika viwanja vya sabasaba, akiwepo Kalunde, Lilian, Finias, Kibuka na Livinus Feruz.
 Afisa Kazinja akitoa vocal baada ya kuingia studioni pa Kasibante akihojiwa kuhusu Miss Kagera iliyofanyika Linas Bukoba.
 Hapa mtu mzima Mac Ngaiza nikifanya vitu kikazi katika Live studios za Kasibante ndani sabasaba.
 Chini ni sehemu ya viwanja vya sabasaba kwa ujumla vilijaa kutokana na matumizi ya watu.
 Askari anapopangwa kufanya kazi karibu na sehemu za burdani, masaa yote atakomaa na eneo hilo tu, je ulinzi utahimarika?

No comments: