Wakati utaratibuwa kukusanya maoni ukiendelea,baaadhi ya wananchi wamelalamikia mpangilio unaofanywa na wasimamizi kwamba unawanyima haki, kwanza ni kuwakalipiana kuwataka kuongea mbele ya watu wengine kitendo kinachowatia aibu. Kama unavyoona picha ya pili huyo ni msimamizi ambaye anauliza maswali huku akiwata wachangiaji kurudia majina wakati wa kutaja majina yao.
No comments:
Post a Comment