Kwasasa kuna mpango wa Serikali ya Manispaa ni kubomoa soko
na kujenga jingine linalosemekana kuwa ni litakuwa la kisasa.
Juu ni Meya wa manispaa ya Bukoba Anatory Aman na mkurugenzi
Hamis Kaputa, chini katikati ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Zipora Pangan.
Kutokana na hali hiyo, wafanyabiashara wengi wamelalamikia kufanyika
kwa jambo hilo bila kushirikishwa, pamoja na hiyo baadhi ya wafanyabiashara
wamepongeza maamuzi ya meya kuwaita kuzungumza nao na kuwaahidi kuwa
atahakikisha anawatendea haki katika suala la kupata eneo mbadala wakati wa
kuvunjwa kwa soko hilo.
Huu ni uwanja wa kaitaba ambapo kumefanyika mazungumzo ya
wafanyabiashara na Meya Manispaa ya Bukoba.
No comments:
Post a Comment