MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 1 August 2012

SIKU YA KUZALIWA MHARIRI HABARI KASIBANTE REDIO MEDDY MULISA

Ni mfanyakazi wa kituo cha utangazaji Kasibante Redio Bukoba, baada kustaafu serikalini na wakati huo ni muandishi habari wa gazeti la DAILY NEWS.

Wafanyakazi wote Kasibante Redio wanampongeza kwa kutimiza umri wa miaka 63.

No comments: