MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 27 September 2012

AJIRA KWA WATOTO JAMANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Limekuwa ni jambo la kawaida sana watu wazima kuwaajiri watoto ambao wanatambulika kuwa chini ya umri wa maiaka 15, kijana huyu ukimwangalia unapata majibu.Baada ya kufanya naye mahojiano, amesema kuwa amehitimu darasa la saba mwaka jana, kutoka kijiji kimoja Bukoba vijijini na saizi naishi na shangazi yake Bukoba mjini.



No comments: