Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Saturday, 6 October 2012
NI KIJANA ANAYETESEKA BAADA YA KUCHOMWA MOTO NA WANAOSADIKIWA KUWA MAJIRANI ZAKE.
Ana umri wa miaka kati ya 13-15, ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Harvest Bukoba mjini, taarifa zinasema kuwa alikuwa akitoka shuleni jumatatu ya 24 sep 2012, baada ya kupita sehemu akakuta kuna kuna wizi umefanyika na mtu asiyejulikana lakini baada ya yeye kuonekana hapo alikamatwa na wananchi na kumchimbia shimo na kumchoma moto hadi aliponusuliwa na msamaria mwema.Hadi sasa yuko hospitali ya mkoa na anaendelea na kuugulia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment