
Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini
wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na
Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross mara baada ya
kuwasili usiku huu ndani ya uwanija wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere,akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma,kati ni Oparesheni
Meneja wa Prime Time Promotions Ltd,Balozi Kindamba ambao ndio waratibu wa
tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajiwa kufanyika hapo kesho.Picha
nyingine baadae kidoogo wadau.
Operesheni Meneja wa Prime Time
Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake kuelekea hoteli waliopangiwa
kufikia usiku huu, Kushoto ni Rick Ross na baadhi wanamuziki wenzake.
Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani
kiaina akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu
waliojitokeza kumlaki The Big Boss mwenye Rick Ross.
No comments:
Post a Comment