-->
Mtaalamu wa Mazingira na Nishati wa UNDP Dkt. Amani
Ngusaro (wa pili kulia) aliyemwakilisha mgeni rasni Mratibu Mkazi wa Umoja wa
Mataifa nchini akitoa nasaha zake katika wiki ya maamdhisho ya Umoja wa Mataifa
ambapo Umoja huo ulikwenda kufanya kampeni ya kuhimiza wananchi kutunza
mazingira katika Kata ya Pugu.
-->
Afisa Mtendaji wa Kata ya Pugu Bw. Justin Nyangwe
akizungumza wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi ambapo ametoa shukrani kwa Umoja
wa Mataifa kwa kuwapa umuhimu wakazi wa Pugu kwa kuchukua hatua ya kushirikiana
nao katika suala zima la kuboresha mazingira na wanaahidi kuwa mfano wa kuigwa
katika utunzaji wa mazingira
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment