Ni baada ya kukutwa kama amejinyonga lakini akionekana amekalia magoti na kuzua wasiwasi kwamba inawezekana akauawa na kufungwa namna hiyo ila makamanda wa polisi wamechukuwa maiti ya kijana huyo kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Mashuuda wamemtaja kijana huyo kuwa ni Mwombeki ambaye alikuwa kinyoozi katika salun moja karibu na eneo alilokuwa amejinyongea hapo majengo mapya.MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment