Pamoja na uzinduzi huo, rais amewataka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na taasisi za kiraia kumuunga mkono mkurugenzi wa NIDA Bwana MAIMU, ili kuwezesha kufanikisha zoezi hilo kikamilifu.
Picha juu ni mfano wa kitambulisho kilichozinduliwa hii leo, na kugawiwa kwa baadhi ya viongozi amabo tayari wameshatengenezewa vitambulisho, na chini ni picha pamoja. Nikutake radhi kwa mwonekano hafifu wa picha zetu.MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment