MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday 9 March 2013

BARAZA LA MADIWANI BUKOBA LIMEKAA BAADA YA KUAHILISHWA MARA MBILI KWA KUTOKUWA NA IMANI NA MEYA PAMOJA NA BAADHI YA MADIWANI KUCHAFULIWA KWA KUANDIKWA VIBAYA KUPITIA VIPEPERUSHI.

 Katika kikao hicho zilijitokeza dosari za baadhi ya wafuasi kushangilia na kuzomea wakati hoja za upande fulani zikitolewa jambo ambalo linaonesha utovu wa nidhamu laniki wakati huo madiwani waliogoma awali walipendekeza meya akae pembeni ili kikao kiongozwe na mwenyekiti mwingine, jambo lililopingwa na mkurugenzi kupitia kanuni moja wapo.
 Baraza hilo pamoja na kughubikwa na ukosefu wa huduma ya umeme, limepitisha bilioni 18.2 kwa mwaka wa fedha 2013/2014.


Kushoto ni mkuu wa wilaya Bukoba bi ZIPORAH PANGANI.

No comments: