MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 18 March 2013

KAMATI YA MAUDHUI TCRA YAKUTANA NA BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI MWANZA.

Makamu mwenyekiti wa Bodi ya Kamati ya Maudhui toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Mzee. Walter Bugoya kushoto kwenye mkutano wa ziara ya kamati hiyo uliofanyika leo ukumbi wa Hotel Gold Crest mkoani Mwanza, pichani wengine kuanzia kulia ni Bi. Eunice Mabagala, Eng. Lawi Odiero ambaye ni meneja wa kanda, Bw. Abdul Ngalawa (mjumbe), na mwisho kabisa ni Joseph Mapunda (Mjumbe).
Picha juu ni Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania Abdul Ngalawa akitoa mchango wake katika mkutano kamati ya Maudhui ya TCRA na waandishi wa habari wa baadhi ya vyombo mkoani Mwanza, uliofanyika leo ukumbi wa Hotel Gold Crest , Kamati hiyo imeundwa kwa mujibu wa sehemu ya 4 ibara ya 26 (1) ya sheria namba 12 ya Mamlaka ya Mawasiliano ya mwaka 2003.
Picha juu ni baadhi ya waandishi wa habari wa kwanza kulia ni SITA TUMA . Picha ni kwa hisani ya G sengo.

No comments: