MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 24 April 2013

UZINDUZI WIKI YA CHANJO WILAYA YA BUKOBA.


 Mgeni rasmi CLEMENT NDYAMKAMA akizindua chanjo ya matone kwa mtoto wa kwanza kwenye uzinduzi huo.
 Juu ni sanduku la matibabu kutoka MSD kilichosheeni vifaa vya chanjo, na chini aliyevaa JEANS na miwani ni mratibu wa mradi wa maleria Bukoba, bwana DEODART NGAIZA akifuatilia kwa karibu zoezi la uzinduzi.
 Afisa tawala Bukoba, CLEMENT NDYAMKAMA, akitoa neno la uzinduzi wa chanjo.

 Diwani wa kata Butelankuzi na Daktali wa wilaya ya Bukoba vijijini wa pili kutoka kushoto
 Taarifa zinasema kuwa kwa muda wa miaka mitatu sasa, halmashauri ya BUKOBA haijakumbwa na ugonjwa mpya wa porio na vituo vya SURUA vimeondolewa kutokana na kukomeshwa kwa ugonjwa huo wilani humo.

 Juu ni sehemu iliyoandaliwa kutumika baada ya uzinduzi ambapo wahudumu wanaendelea na shughuli ya utoaji chanjo na kupokea vyeti vya Kliniki.
MWANA HARAKATI

No comments: