Kauli ya katibu wa chama hicho mkoa bwana AVERIN MUSHI, alipozungumza na waandishi wa habari, amesema kuwa wamefikia uamuzi wa kuwafukuza kimkoa, na kupeleka pendezo taifa ili hatua hiyo ipewe baraka.
Hatua hizo zinafuatia baada ya kuwepo makundi mawili ya madiwani waliosimamishwa wakipinga utendaji wa meya ANATOR AMANI na wengine wakimuunga mkono katika maamuzi ambayo hatahivyo yanalalamikiwa na wananchi kuhusu miradi ya maendeleo.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment