Miongoni mwa maagizo hayo ni pamoja na linalohusu wahamiaji haramu, rais alipotoa wiki2 kwa wanomiliki silaha, wahamiaji haramu na majambazi kuzisalimisha silaha, kuondoka na kuacha kazi ya ujambazi akisitiza kuwa baada ya siku hizo 14, serikali itafanya operation kali katika mikoa mitatu inayoongoza kwa mambo hayo, ambayo aliitaja kuwa Geita, Kagera na Kigoma.
Katika agizo la rais, mkuu wa mkoa amesema mtu atakayefanikisha taarifa hizo atapewa laki moja, ambapo kuhusu viwanja 800 kwa wananchi waliolipia mwaka 2000, wapewe maramoja ndani wiki 1.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment