Katika safari yangu wiki iliyopita, nimeshuudia ajali zaidi ya tano kutoka Bukoba hadi Dar es salaam, na kuonesha wasiwasi kwangu kwamba kwanini magari hayo Malori ndiyo yanaonekana kukumbwa na ajali hizo, ambapo miongoni mwa watu nilijadiliana nao suala hilo, wengi wanasema ni kwasababu ya safari za usiku, lakini pili magari hayo yanasimama mara kwa mara kwenye maeneo yasiyo rasmi na linapopata tatizo, kiashiria kinawekwa karibu na gari hilo, ambapo gari inayokuwa inakuwa vigumu kukwepa kwani inakua imeshakaribia hatari.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment