Marehemu aliwahi pia kufanya kazi katika kituo cha Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na katika Kituo cha Redio One ambapo alikuwa Mkurugenzi.
Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika japo marehemu alikuwa akiugua kwa muda mrefu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN! Taarifa zaidi zitawajia baadaye.
Marehemu Julius
Nyaisangah (katikati) akiwa katika pozi na Meneja Mkuu wa Global Publishers
Abdallah Mrisho katika
semina ya wanahabari Bagamoyo mwaka 2011.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment