Mwanamume mmoja mwenye umri wa makamo
ametiwa mbaroni na maafisa wa polisi mjini kisumu baada ya kudaiwa
kushiriki kitendo kisicho cha kawaida na kuku. Inadaiwa mwanamume huyo
amekuwa na mazoea ya kutekeleza kitendo hicho. Ni tukio lililotokea
mwishoni mwa mwaka jana mjini Kisumu.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment