Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Monday, 31 March 2014
KAMATI ZA BUNGE ZIMEANZA KUJADILI VIPENGELE VYA RASIMU
Akiahilisha bunge hilo maalumu ili wajumbe waamie kweye kamati, mwenye wake SAMUEL SITTA, amesema kuwa watanzania wasubiri kupata katiba mpya hivyo wajumbe wasifanye mzaha katika suala hilo muhimu. Bunge limealishwa hadi ijumaa watakaporejea kupata taarifa za kilichopitishwa kwenye kamati hizo. |
Kutoka kushoto ni Kingunge Ngombale mwilu,, waziri mkuu Pinda, James Mbatia mwenyekiti wa NCCR, na mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA Freeman Mbowe. |
Na Mwanaharakati.
TAADHARI PICHA INAOGOFYA!!! NI KUONESHA WATU 12 WALIOKUFA KWENYE AJALI MOSHI IJUMAA USIKU
Ilitokea eneo la EDARU wakati wakitoka kuudhuria mazishi ya mtoto aliyesombwa na maji ya mafuriko |
Subscribe to:
Posts (Atom)