MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 25 March 2014

KESI YA MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA KUENDELEA KESHO

Ni katika hatua nyingine ya kesi iliyofunguliwa mahakamani hapo na diwani wa kata ya Kahororo Chief Kalumuna, akisema kuwa madiwani sita wa manispaa ya Bukoba hawakuudhuria vikao zaidi ya vitatu vya halmashauri hiyo.

Leo mahakama ya hakimu mkazi mfawizi wa wilaya, imemhoji Chief Kalumu aliyefungua kesi hiyo, ambapo kesho watawahoji madiwani wengine kuhusu nyalaka zilizotumika kuwaalika madiwani kwenye vikao kama zilifuata sheria.
Na Mwanaharakati.

No comments: