MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 3 April 2014

BREAKING NEWS!!! MALORI ZAIDI YA 800 YAKWAMA TUNDUMA


Taarifa zilizotufikia kutoka kwa mmoja wa madereva wa lori SALEHE NADI, zinaeleza kuwa  tatizo ni uwapo wa shimo dogo baada ya gari moja kupata ajali upande mwingine, lililokuwa likitokea Sumbawanga, ambapo taarifa waliyonayo madereva ni kuwa utaratibu wa kukarabati eneo hilo unaendelea.

Ameeleza kuwa kinachowauma wanalipia dola 350 kama ushuru wa kuvusha gari, kutoka Tanzania kwenda Zambia, ambapo hakukuwa na sababu ya kushindwa kukarabati eneo hilo,



Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoani Ruvuma AHMED MSANGI, amesema kuwa ni kweli malori kadhaa yamekwama mpakani Tuinduma na hakuna uwezekano wa kuvuka mpaka kwenda Zambia, lakini akashindwa kuthibitisha ni kiasi gani cha malori yaliyokwama, huku akisema kuwa yamekwama kwa siku 3 pekee.
Endelea kufuatilia undani wake.
Na Mwanaharakati.

No comments: