MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 1 April 2014

NDEGE YA MALAYSIA YAPATIKA KAGERA;-IMETOLEWA KWA WAANDISHI WA HABARI NA ALIYEJITAMBULISHA MCHUNGAJI

Bwana Lambart akiwa katika ofisi za waandishi wa habari Kagera KPC.
Ni bwana Lambart akisma kifungu cha biblia kuwa "hapo zamani alikuwapo neno"

Hapa ni mwandishi wa habari Livinus Feruz akizungumza naye baada ya kutoa maelezo yake ofisini kwa wanahabari
Mtu aliyejitambulisha kama mchungaji ambaye hatahivyo hakuthibisha wa kanisa gani, amesema kuwa ndege hiyo haikuanguka kwenye bahari kama wengi wanavyosema, na ipo Ishozi Kiziba, ambapo amesafiri umbali kilomita zaidi ya hamsini kutoka huko Kiziba wilayani Misenyi, ili kutoa taarifa hizo kwa waandishi wa habari Bukoba mjini.

Alikuwa akisistiza waandishi hao kutoa taarifa hiyo huku akisistiza kuwa wasifikiri ni utani kwasababu ya siku ya wajinga hii kwani muda umeshapita.

Katika taarifa sahihi inayofahamika na inasikika kupitia vyombo mbalimbali vya habari, ni kwamba ndege Boeng 777 ilitoweka huko Malaysia zaidi ya wiki mbili zilizopita na inatafutwa na mataifa kadhaa kote ulimwenguni ambapo kwasasa inasemekana kuna mabaki kusini mwa Australia katika bahari ya Hindi.

No comments: