Ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu
bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae
kujiunga na bendi ya Double M Sound,kupitia ukurasa wa Amina Ngaluma wa
Facebook watu mbalimbali wameandika salaam za msiba huu.
Chanzo cha kifo bado hakijafahamika ingawa wamesema
kuwa walimuuguza kwa siku kadhaa kabla ya umauti kumfika,
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment