
Taarifa iliyopo inasema msanii huyo Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali
ya
Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu.
Kwamba marehemu ameanguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado
iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika
kuwa anasumbuliwa na tumbo.
Tunaendelea kufuatilia ili kujua kifo chake kimesababishwa na nini.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment